Reputation Management
CPR certification onlineCPR certification online

 UKWELI MTUPU: Kifungua kinywa ndiyo mlo ulio wa muhimu kuliko milo yote ya siku. Ki ukweli, kifungua kinywa ndo mlo unaotakiwa kuliwa kwa wingi kuliko milo yote. Tofauti na unavyoweza kufikiri, tafiti zinaonyesha kwamba, kukwepa kifungua kinywa kwaweza kukusababisha kuongezeka uzito na kukusababishia maradhi chungu nzima.

CHA KUFANYA: Hakikisha unapata kifungua kinywa chenye virutubisho vyote muhimu (wanga, protini, mafuta mazuri, vitamin na madini)

HITIMISHO: Usichukulie powa. Kutokupata kifungua kinywa hakukusaidii kupunguza mafuta mwilini, bali hufanya kinyume.

 

 

 

Free Presentantion on ...

Free Presentation on Weight Loss with Zohra ...

+ View

Recent Articles

Are you looking for ...

We are a team of doctors, medical writers, health ...

+ View

Lishe bora ni dawa

Kama kuna kitu muhimu na cha msingi sana ambacho ...

+ View

Huu hapa mpangilio wa ...

  Mwaka mmoja kabla ya kumaliza shahada yangu ya ...

+ View
  • Prev
  • Sponsor this Section
Scroll to top