Reputation Management
CPR certification onlineCPR certification online

 

UNAFAHAMU HII: Mojawapo ya njia iliyowahi kutumika katika kutambua kama mtu ana ugonjwa wa kisukari, ilikuwa ni kuonja mkojo wa mtu anayedhaniwa kuwa na tatizo hilo.

KWA NINI: Mkojo wa mtu mwenye ugonjwa wa kisukari, kama sukari yake haijadhibitiwa ipasavyo, huwa na sukari nyingi. Wakati mwingine sukari huwa nyingi kiasi cha kuufanya mkojo kuwa na hali ya UTAMU.

HITIMISHO: Teknolojia inasaidia sana katika kuboresha jinsi ya kupima na kutambua magonjwa mbalimbali. Siku hizi daktari haitaji kuonja mkojo kufahamu kama mtu anatatizo la kisukari.

 

Free Presentantion on ...

Free Presentation on Weight Loss with Zohra ...

+ View

Recent Articles

Are you looking for ...

We are a team of doctors, medical writers, health ...

+ View

Lishe bora ni dawa

Kama kuna kitu muhimu na cha msingi sana ambacho ...

+ View

Huu hapa mpangilio wa ...

  Mwaka mmoja kabla ya kumaliza shahada yangu ya ...

+ View
  • Prev
  • Sponsor this Section
Scroll to top