Reputation Management
CPR certification onlineCPR certification online
UKWELI WA KISAYANSI
Kama wewe na mwenzi wako (mke, mme au mzazi mwenzako) mna historia ya kukojoa kitandani wakati wa utoto, uwezekano wa mtoto wenu kuwa na tabia ya kukojoa kitandani ni asilimia sabini (70%).
 
Kama ni mmoja wenu tu ndiye aliyekuwa kikojozi, basi uwezekano wa mtoto wenu kuwa na tabia hiyo ni asilimia arobaini (40%)
 
Lakini pia, hata kama wote wawili hamkuwa na tabia hiyo ya kukojoa kitandani, basi upo uwezekano wa asilimia kumi na tano (15%) wa mtoto wenu kuwa na tabia ya kukojoa kitandani.
 
MUHIMU: Kukojoa kitandani si makusudi. Mara nyingi tatizo hili huisha pale mtoto anapokua. Ni muhimu kuonana na madaktari wahusika endapo UNAWASIWASI KUHUSU TATIZO HILI

Free Presentantion on ...

Free Presentation on Weight Loss with Zohra ...

+ View

Recent Articles

MEN’S BELLY FAT: Pride ...

The fact that abdominal fat, or belly fat, is not ...

+ View

Kuondoa kitambi, tumia ...

Nadhani katika kitu ambacho wengi wanapambana ...

+ View

Ushauri wa mazoezi kwa ...

Ni kawaida kwa watu wenye umri wa miaka 50 na ...

+ View
  • Prev
  • Sponsor this Section
Scroll to top