Reputation Management
CPR certification onlineCPR certification online

Tabasamu lako ni mvuto wako, litunze kwa kupiga mswaki mara mbili kwa siku

  • Piga mswaki mara mbili kwa siku kwa kutumia mswaki wenye brashi laini.Tumia mswaki wenye ukubwa wa kichwa cha wastani ili kuweza kufika meno yote kwa urahisi.
  • Badilisha mswaki wako kila baada ya miezi mitatu, au mara tu brashi zinapoanza kulala nje ya mstari wake. Mswaki ulioisha hauwezi kusafisha vizuri meno yako.
  • Hakikisha unatumia dawa ya meno iliyoidhinishwa na chama cha madaktari wa meno Tanzania (TDA)

 

 

 

Free Presentantion on ...

Free Presentation on Weight Loss with Zohra ...

+ View

Recent Articles

Ushauri wa mazoezi kwa ...

Ni kawaida kwa watu wenye umri wa miaka 50 na ...

+ View

Imani nne (4) potofu ...

Mazoezi kama kitendo muhimu kwa afya na maisha ...

+ View

Je wewe unahitaji ...

Afya ya kinywa ni muhimu kwa ajili ya afya ya ...

+ View
  • Prev
  • Sponsor this Section
Scroll to top