Reputation Management
CPR certification onlineCPR certification online
 

Unaweza kupata muonekano uupendao kwa kufanya mazoezi.

Na kuzingatia lishe bora.

Huitaji kutumia madawa yenye madhara. 

Huenda umekuwa ukihangaika kwa muda mrefu kujaribu kujiweka katika muonekano unaoukubali. Kumbuka, si vibaya kutaka kuwa na umbo au shepu unayoikubali na kuipenda.

Read more ...

JISAJILI KUJIUNGA NA DARASA LA MAZOEZI NA LISHE BORA

Katika siku za karibuni kumekuwa na taarifa zilizosambaa sana mitaani kuhusiana na kuwepo kwa dawa za kukuza sehemu mbalimbali za mwili. Nia ya kukuza au kupunguza sehemu fulani ya mwili hutokana na msukomo wa kutaka kuwa na muonekano ambao mtu huupenda.

Read more ...

Umuhimu wa mazoezi katika kupambana na athari za madawa ya kulevya

Tunafahamu kwamba mazoezi yanazo faida nyingi katika miili yetu, ikiwemo ile ya kutukinga na hata kuponya baadhi ya magonjwa. 

Tafiti zinaonyesha kwamba, mazoezi yakiwa sehemu ya matibabu, yanauwezo mkubwa wa kuzuia na kudhibiti athari zitokanazo na kuzoea kutumia madawa ya kulevya. Dalili za athari hizi hujulikana kwa pamoja kama “arosto”. Tafiti hizo zinaonyesha kwamba kufanya mazoezi mara kwa mara kukichanganywa na matibabu ya kawaida ya tatizo hili husaidia kuondoa dalili hizo mbaya kwa haraka sana.

Read more ...

Iwe ni kucheza ngoma, muziki au kumuabudu mungu, ku-dansi siyo tu kitendo cha kujifurahisha, bali ni aina ya mazoezi yenye faida nyingi kiafya ziada ya zile za mazoezi ya kawaida.

Read more ...

Free Presentantion on ...

Free Presentation on Weight Loss with Zohra ...

+ View

Recent Articles

Ushauri wa mazoezi kwa ...

Ni kawaida kwa watu wenye umri wa miaka 50 na ...

+ View

Imani nne (4) potofu ...

Mazoezi kama kitendo muhimu kwa afya na maisha ...

+ View

Je wewe unahitaji ...

Afya ya kinywa ni muhimu kwa ajili ya afya ya ...

+ View
  • Prev
  • Sponsor this Section
Scroll to top