Reputation Management
CPR certification onlineCPR certification online

KWA KIFUPI, watu wengi hususani wanawake hudhani kwamba mazoezi ya kutumia nguvu–ambayo mara nyingi huusisha kunyanyua, kuvuta au kusukuma vitu vizito, ni kwa ajili ya wanaume na watunisha misuli peke yao. Dhana hii potofu ni sababu moja wapo kwa watu wengi kushindwa kutimiza malengo yao ya kupunguza uzito, hata pale wanapojitahidi kufanya mazoezi kwa wingi.

Read more ...

Njia bora na salama zitazokupatia umbo na shape uipendayo

Katika siku za karibuni kumekuwa na taarifa zilizosambaa sana mitaani kuhusiana na kuwepo kwa dawa za kukuza sehemu mbalimbali za mwili.

Kumekuwa na ‘’uvumi’’ kwamba kuna wanawake wamekuwa wakitumia dawa ili kukuza matiti na sehemu zao za makalio.

Read more ...

Free Presentantion on ...

Free Presentation on Weight Loss with Zohra ...

+ View

Recent Articles

Imani nne (4) potofu ...

Mazoezi kama kitendo muhimu kwa afya na maisha ...

+ View

Je wewe unahitaji ...

Afya ya kinywa ni muhimu kwa ajili ya afya ya ...

+ View

Mazoezi na kupanda kwa ...

  Nini cha kuzingatia?  Tayari tunafahamu ...

+ View
  • Prev
  • Sponsor this Section
Scroll to top