Reputation Management
CPR certification onlineCPR certification online

Kwa nini ni muhimu kufahamu

Baadhi yetu hatujapata ufahamu yakinifu kuhusu mazoezi. Wapo ambao bado tunaamini mazoezi ni kwa ajili ya wanamichezo na watu wanaopenda kuwa na muonekano mzuri peke yake. Wapo pia wanaoamini kwamba kufanya mazoezi ni kupoteza muda na kujisababishia maumivu yasiyo na tija. Wengine bado wanadhani kwamba kufanya mazoezi kunawezekana tu pale unapokuwa na vifaa maalumu, muda maalumu au unaposhiriki katika michezo. Wapo pia wasioamini umuhimu wa mazoezi katika kudumisha afya na kuzuia magonjwa.

Leo hii tutakuchambulia mambo matano (5) ya kustaajabisha ambayo huenda ulikuwa huyafahamu.

Read more ...

Njia rahisi za kukufanya uwe mkakamavu na mwenye afya bora

Ukakamavu au ‘’fitness’’ siyo matokeo, bali ni mtindo wa maisha. Hii inamaana kwamba kudumisha ukakamavu mtu anatakiwa kujishughulisha kila siku kwa kufanya mazoezi. Haitatokea hata siku moja mtu akafikia mwisho na kusema ‘’sasa mazoezi basi, nimekwishakuwa mkakamavu au fit kiasi cha kutosha’’ la hasha.

Read more ...

Tafakari?

Moja wapo ya vitu vinavyochangia kwa kiasi kikubwa katika kuongezeka kwa magonjwa yasiyo ambukizi ni ukosefu wa mazoezi. Tafiti zinaonyesha kwamba kufanya mazoezi mara kwa mara kunaweza kutukinga na magonjwa hayo kwa kiasi kikubwa. Je unadhani unatimiza kiwango cha mazoezi kinachoshauriwa kwa ajili ya kudumisha afya bora na kujikinga na magonjwa hayo?

Read more ...

Faida kuu nne (4) za mazoezi zaidi ya kupunguza uzito na kuzuia unene

Ni faraja kuona ni jinsi gani waTanzania wanavyozidi kupata muamko wa kufanya mazoezi kwa ajili ya kutunza afya zao. Awali wengi waliamini kwamba mazoezi ni kwa ajili ya wanamichezo, watunisha misuli na watu wanaopenda kuwa na muonekano mzuri peke yao. Licha ya habari hii njema, ufahamu zaidi kuhusu umuhimu wa mazoezi bado unahitajika.

Read more ...

Free Presentantion on ...

Free Presentation on Weight Loss with Zohra ...

+ View

Recent Articles

Utastaajabishwa na ...

Wakati mwingine tunakata tamaa kufanya mambo ...

+ View

Matatizo sugu yanayo ...

Wengi wetu tunafahamu umuhimu wa mazoezi katika ...

+ View

MEN’S BELLY FAT: Pride ...

The fact that abdominal fat, or belly fat, is not ...

+ View
  • Prev
  • Sponsor this Section
Scroll to top