Reputation Management
CPR certification onlineCPR certification online

Huenda mazoezi yakawa jibu la tatizo hili

Matokeo ya utafiti yaliyochapishwa hivi karibuni katika jarida la “Reproduction” yanaweza kuwa kichocheo kwa wanaume wengi kuanza kufanya mazoezi. Matokeo ya utafiti huo yameonyesha kwamba mazoezi ya wastani yanapofanyika kwa muda wa takribani nusu saa, mara tatu kwa wiki yanaweza kuongeza kiwango na kasi ya mbegu za kiume.

Read more ...

Wengi wetu tunafahamu ukweli kwamba mazoezi yana faida chungu nzima katika miili yetu. Muhimu katika hili ni faida za kiafya zitokanazo na mazoezi. Japo tunafahamu ukweli huo, huenda tukawa hatufahamu ni kwa vipi mazoezi hutusaidia kudumisha afya na kutulinda tusipate magonjwa. Leo tutachambua mambo manne (4) muhimu ambayo hutokea katika miili yetu tunapofanya mazoezi mara kwa mara, na kutufanya tuwe wenye afya bora.

Read more ...

Umuhimu wake kwa afya na katika michezo

Katika vitu vikubwa na muhimu katika michezo ambavyo binafsi hudhani kwamba hupuuziwa hapa nchini ni kitu tunachoita kitaalamu kama fitness test au exercise test–kwa lugha rahisi ya Kiswahili, kipimo cha ukakamavu.

Read more ...

Japo ya mawazo ya haraka haraka kuweza kumfanya mtu kufikiri tofauti, tafiti zinaonyesha kwamba mtu anayeendesha baiskeli huvuta hewa safi zaidi kuliko anayeendesha gari. Hii ni ukweli pia kwa mtu aliyepanda baiskeli ukilinganisha na yule aliye ndani ya gari.

Read more ...

Free Presentantion on ...

Free Presentation on Weight Loss with Zohra ...

+ View

Recent Articles

Utastaajabishwa na ...

Wakati mwingine tunakata tamaa kufanya mambo ...

+ View

Matatizo sugu yanayo ...

Wengi wetu tunafahamu umuhimu wa mazoezi katika ...

+ View

MEN’S BELLY FAT: Pride ...

The fact that abdominal fat, or belly fat, is not ...

+ View
  • Prev
  • Sponsor this Section
Scroll to top