Reputation Management
CPR certification onlineCPR certification online

Fanya mazoezi yafuatayo

Katika maisha tunayoishi hivi sasa, ni vigumu sana kuepuka msongo wa mawazo au kwa lugha ya kiingereza stress. Ikumbukwe kwamba, wakati mwingine ni muhimu kwa msongo wa mawazo au stress kutokea kwa muda mfupi, kwa kuwa hutuwezesha kufanya kazi kwa ufasaha na kutupa uwezo wa kumaliza kazi zinazotukabili au hata kushindana inapohitajika kufanya hivyo.

Read more ...

Mara nyingi tunapoongelea mazoezi tunafikiria kupunguza uzito au mwili peke yake. Licha ya ukweli kwamba mazoezi husaidia kupunguza uzito/mwili, ikumbukwe kwamba mazoezi pia ni muhimu katika kuongeza uzito/mwili.

Read more ...

Kama wewe ni mfuatiliaji wa makala zetu utakuwa unafahamu fika kwamba, mazoezi si michezo au kwenda gym peke yake bali mazoezi ni kitu chochote kinachohusisha kujongea, misuli kufanya kazi na nguvu ya mwili kutumika. Kwa maana hiyo, kutembea, kufanya kazi za nyumbani, kukimbia na hata kuendesha baiskeli ni mazoezi pia.

Read more ...

Njia kumi (10) madhubuti zitazokuacha na pesa mfukoni na afya njema maishani

Unataka kupunguza matumizi yako kwa asilimia zaidi ya hamsini (50%) wakati ukineemeka na zoezi hilo kiafya?

Zingatia mambo kumi (10) yafuatayo.

Read more ...

Free Presentantion on ...

Free Presentation on Weight Loss with Zohra ...

+ View

Recent Articles

Utastaajabishwa na ...

Wakati mwingine tunakata tamaa kufanya mambo ...

+ View

Matatizo sugu yanayo ...

Wengi wetu tunafahamu umuhimu wa mazoezi katika ...

+ View

MEN’S BELLY FAT: Pride ...

The fact that abdominal fat, or belly fat, is not ...

+ View
  • Prev
  • Sponsor this Section
Scroll to top