Reputation Management
CPR certification onlineCPR certification online

Kuna aina kuu tatu za mazoezi. Moja wapo kati ya hizo ni mazoezi ya kunyoosha na kulainisha viungo au kwa lugha ya kiingereza flexibility exercises. Mazoezi ya kunyoosha na kulainisha viungo yanahusisha mazoezi ya yoga na yale ya kunyoosha viungo na misuli au stretch ups. Kutokana na mabadiliko ya mitindo ya maisha mazoezi ya aina hii yamekuwa muhimu sana kiasi cha kutakiwa kufanyika kila siku, na wakati mwingine zaidi ya mara moja kwa siku.

Zifuatazo ni sababu kubwa Nne zinazosababisha

Read more ...

Fanya mazoezi yafuatayo

Katika maisha tunayoishi hivi sasa, ni vigumu sana kuepuka msongo wa mawazo au kwa lugha ya kiingereza stress. Ikumbukwe kwamba, wakati mwingine ni muhimu kwa msongo wa mawazo au stress kutokea kwa muda mfupi, kwa kuwa hutuwezesha kufanya kazi kwa ufasaha na kutupa uwezo wa kumaliza kazi zinazotukabili au hata kushindana inapohitajika kufanya hivyo.

Read more ...

Mara nyingi tunapoongelea mazoezi tunafikiria kupunguza uzito au mwili peke yake. Licha ya ukweli kwamba mazoezi husaidia kupunguza uzito/mwili, ikumbukwe kwamba mazoezi pia ni muhimu katika kuongeza uzito/mwili.

Read more ...

Kama wewe ni mfuatiliaji wa makala zetu utakuwa unafahamu fika kwamba, mazoezi si michezo au kwenda gym peke yake bali mazoezi ni kitu chochote kinachohusisha kujongea, misuli kufanya kazi na nguvu ya mwili kutumika. Kwa maana hiyo, kutembea, kufanya kazi za nyumbani, kukimbia na hata kuendesha baiskeli ni mazoezi pia.

Read more ...

Free Presentantion on ...

Free Presentation on Weight Loss with Zohra ...

+ View

Recent Articles

Ushauri wa mazoezi kwa ...

Ni kawaida kwa watu wenye umri wa miaka 50 na ...

+ View

Imani nne (4) potofu ...

Mazoezi kama kitendo muhimu kwa afya na maisha ...

+ View

Je wewe unahitaji ...

Afya ya kinywa ni muhimu kwa ajili ya afya ya ...

+ View
  • Prev
  • Sponsor this Section
Scroll to top