Reputation Management
CPR certification onlineCPR certification online

Wote tunamfahamu, ndugu, rafiki, mfanyakazi mwenzetu au jirani ambaye hatujawahi kupata kusikia akiwa mgonjwa hata siku moja. Wakati wengine tukipambana na mafua, kikohozi na hata homa za mara kwa mara, yeye huonekana mwenye afya tele. Huenda hatujawahi kujiuliza, au kufuatilia kujua ni kwa nini inakuwa hivyo.

 

Ni nini siri ya maisha haya bora ambayo kila mmoja wetu angetamani kuyaishi?

JAMII HEALTH kwa kutumia matokeo ya tafiti mbalimbali, mahojiano na uzoefu inakuchambulia tabia nane (8) za watu

wasiougua kabisa au kutokuugua mara kwa mara–tunazotakiwa kuiga.

 

Read more ...

Faida za mazoezi kwa afya na muonekano wa miili yetu

Wasi wasi alionao mwanadamu wa sasa kuhusu muonekano wa sura na mwili, kwa upande mwingine waweza kuwa na muelekeo wa kuitafuta afya njema . Sisi wote kwa ujumla, katika nyakati tofauti tunakuwa na mawazo fulani ndani yetu yanayotuambia kuwa na mwonekano fulani. Mawazo haya hujirudia rudia hata tunapojaribu kuyazuia. Tunaweza kuvilaumu vyombo vya habari au mitandao mbali mbali inayoonyesha maumbo na muonekano fulani, kuwa ndiyo ’’uzuri’’, ila ukweli unabaki pale pale kwamba, wanawake na wanaume wenye miili yenye muonekano mzuri, hukamata macho ya wengi na kuwavutia.

Read more ...

Katika nchi za magharibi ukweli kwamba mafuta katika sehemu za tumbo, maarufu kama kitambi, kuwa ni tatizo kwa muonekano na afya si swala lenye ubishi. Wanasayansi wametoa matokeo ya tafiti mbali mbali yanayohusisha vitambi na matatizo chungu nzima ya kiafya kama vile, kisukari na hata magonjwa ya moyo. Jinsi ambavyo vyombo vya habari vinavyozidi kuchochea Imani kwamba kutokuwa na kitambi ni sehemu ya muonekano mzuri, ndivyo hivyo jumuiya ya wanamagharibi inavyoendelea kuamini na kusisitiza kwamba kitambi au mafuta mengi sehemu za tumbo si mazuri kwa afya na hata kwa muonekano.

Read more ...

Free Presentantion on ...

Free Presentation on Weight Loss with Zohra ...

+ View

Recent Articles

Utastaajabishwa na ...

Wakati mwingine tunakata tamaa kufanya mambo ...

+ View

Matatizo sugu yanayo ...

Wengi wetu tunafahamu umuhimu wa mazoezi katika ...

+ View

MEN’S BELLY FAT: Pride ...

The fact that abdominal fat, or belly fat, is not ...

+ View
  • Prev
  • Sponsor this Section
Scroll to top