Reputation Management
CPR certification onlineCPR certification online

 

Imehaririwa na Dr Praxeda Swai, MD, MMED (Daktari bingwa wa afya ya akili) 

Kwa kawaida huwa ni furaha kubwa isiyoelezeka kwa mwanamke kupata mtoto, na inasadikika hakuna furaha zaidi ya hiyo. Inapotokea mama wa mtoto kukosa furaha, kuwa mwenye huzuni na hasira, au hata kujiona mpweke, mwoga na mwenye kukosa upendo kwa mtoto hata kufikia kuwa na fikra za kumdhuru. Hizi zaweza kabisa kuwa dalili za tatizo la sonona baada ya kujifungua au kwa lugha ya kitaalamu postpartum depression.

Read more ...

Kabla ya kubeba ujauzito ni vizuri kwa mama mtarajiwa kuonana na wataalamu wa afya (preconception care). Kuonana na wataalamu wa afya na kupata huduma (ikiwa ni pamoja na ushauri na dawa) katika kipindi hiki, wakati mwingine ni muhimu kuliko kuonana na wataalamu wakati wa ujauzito (pre-natal care). Kuonana na wataalamu kabla ya ujauzito husaidia kupunguza au kuepuka shida zinazoweza kuathiri afya ya mama na mtoto mtarajiwa.

Read more ...

NAFASI YA BABA KUHUDUMIA FAMILIA: Baba wa mtoto siku zote ana wajibu mkubwa katika malezi ya mtoto tangu ujauzito mpaka mtoto kufikisha umri wa kujitegemea. Mtazamo wa wengi juu ya wajibu wa baba ni kutafuta fedha za kukidhi mahitaji ya mama na mtoto. Huu ni wajibu wa msingi ambao unatakiwa kuendelezwa kwa ustawi wa familia. Kimsingi baba ana wajibu na majukumu mengine zaidi ya kutafuta fedha za kukidhi mahitaji ya mama na mtoto.

Read more ...

KUZALIWA MPAKA MIEZI 6

  • Mnyonyeshe mtoto kadri anavyohitaji usiku na mchana. Mtoto anatakiwa anyonye angalau mara nane kwa masaa 24. Kadri anavyonyonya ndiyo maziwa yanazidi kutengenezwa

  • Mtoto aliyezaliwa na uzito chini ya kilo 2.5 anatakiwa anyonyeshwe kila baada ya masaa 2-3, mwamshe mtoto na umnyonyeshe baada ya masaa 3 kama amelala.

  • Usimpe kitu kingine chochote zaidi ya maziwa ya mama. Maziwa ya mama yana maji ya kutosha hivyo hauhitaji kumpa maji.

Read more ...

Free Presentantion on ...

Free Presentation on Weight Loss with Zohra ...

+ View

Recent Articles

Ushauri wa mazoezi kwa ...

Ni kawaida kwa watu wenye umri wa miaka 50 na ...

+ View

Imani nne (4) potofu ...

Mazoezi kama kitendo muhimu kwa afya na maisha ...

+ View

Je wewe unahitaji ...

Afya ya kinywa ni muhimu kwa ajili ya afya ya ...

+ View
  • Prev
  • Sponsor this Section
Scroll to top