Reputation Management
CPR certification onlineCPR certification online

Ujumbe kutoka kitengo cha elimu ya afya kwa umma

Read more ...

Kwa kawaida pombe inapoingia mwilini humeng’enywa (metabolized) na aina mbili ya mimeng’enyo (enzymes) ambazo hupatikana katika tumbo (stomch) na ini (liver). Hivyo mtu anapokunywa pombe, pombe hiyo huvunjwa vunjwa na kutolewa mwilini na kuifanya isibaki ndani ya mwili kwa muda mrefu.Hii husaidia kuifanya pombe isilete madhara makubwa mwilini.

Read more ...

Si kitu cha ajabu kukuta wazazi wakiwakataza watoto wao kushiriki katika michezo, kutokana na kile wanachoamini kwamba, mtoto kushiriki katika michezo ni kupoteza muda wa masomo. Ni ukweli pia kwamba kumekuwa na tabia ya shule nyingi kupunguza muda wa vipindi vya michezo ili kuwapa wanafunzi muda mwingi zaidi wa kukaa darasani. 

Read more ...

Vipele vinavyotokea kwa watoto wanaotumia nepi (diaper dermatitis) husababishwa na unyevu-nyevu, michubuko na kugusana na kinyeshi na mkojo kwa muda mrefu. Mara nyingi vipele hivi hutokea katika maeneo ya mtoto yaliyofunikwa na nepi. Tatizo hili huwakumba watoto wenye umri chini ya mwaka mmoja na hutokea kwa kiasi kikubwa kwa watoto wenye umri wa miezi 9-12.

Read more ...

Free Presentantion on ...

Free Presentation on Weight Loss with Zohra ...

+ View

Recent Articles

Utastaajabishwa na ...

Wakati mwingine tunakata tamaa kufanya mambo ...

+ View

Matatizo sugu yanayo ...

Wengi wetu tunafahamu umuhimu wa mazoezi katika ...

+ View

MEN’S BELLY FAT: Pride ...

The fact that abdominal fat, or belly fat, is not ...

+ View
  • Prev
  • Sponsor this Section
Scroll to top