Reputation Management
CPR certification onlineCPR certification online

Kupima afya ya mwili ni utaratibu mzuri utakaokusaidia kufahamu hali ya afya yako, kujikinga na magonjwa na kutambua magonjwa mapema. Kitaalamu inashauriwa kupima afya yako angalau mara moja kila mwaka. Upimaji wa afya unatakiwa uzingatie mambo kadhaa kama baadhi yatakavyoelezwa hapa chini”.

Read more ...

Ugonjwa wa kisukari hutokana na ukosefu au upungufu wa homomi aina ya insulin ambayo hutengenezwa na kongosho. Kuna aina mbili za ugonjwa wa kisukari, aina ya kwanza ni ule unaotokea kwa watoto ambao huhitaji kutibiwa kwa insulin ya sindano, aina ya pili ni ule unaowaathiri watu wazima (huu hutibiwa kwa kubadili mfumo wa maisha, vidonge vya kupunguza sukari au sindano za insulin).

Read more ...

Free Presentantion on ...

Free Presentation on Weight Loss with Zohra ...

+ View

Recent Articles

Utastaajabishwa na ...

Wakati mwingine tunakata tamaa kufanya mambo ...

+ View

Matatizo sugu yanayo ...

Wengi wetu tunafahamu umuhimu wa mazoezi katika ...

+ View

MEN’S BELLY FAT: Pride ...

The fact that abdominal fat, or belly fat, is not ...

+ View
  • Prev
  • Sponsor this Section
Scroll to top