Reputation Management
CPR certification onlineCPR certification online

JARIDA LILILOSHEENI TAARIFA NA MAFUNZO YA AFYA, LISHE, MAZOEZI NA UREMBO

TAARIFA NA MAFUNZO MAKINI KUHUSU AFYA, LISHE, MAZOEZI NA UREMBO

Mahali pekee utakapopata taarifa na mafunzo kuhusu afya yako, magonjwa, lishe bora, mazoezi na urembo. Likiunganisha na kuwaleta pamoja wataalamu waliobobea katika maswala ya afya, jarida la Jamii Health litakuletea taarifa makini na mafunzo sahihi yatakayokusaidia kudumisha afya, kujikinga na magonjwa na kuwa mwenye furaha tele. Kukuletea taarifa na mafunzo yaliyohakikiwa na kutathminiwa na wataalamu pamoja na kupangiliwa na jopo la wahariri makini ndiyo haswa lengo la Jamii Health Magazine.

MAELEZO RAHISI KWA KUTUMIA LUGHA MBILI TOFAUTI NA VIELELEZO YAKINIFU

KUWA WA KWANZA KUSAIDIA UMMA WA WATANZANIA NA WAAFRIKA KWA UJUMLA, KUPATA TAARIFA MAKINI NA MAFUNZO SAHIHI KUHUSU AFYA ZAO. WASILIANA NASI KWA NAFASI ZA MATANGAZO NA UDHAMINI KATIKA JARIDA HILI MAKINI.

Toleo la kwanza la jarida hili, litakuwa mitaani kuanzia mwezi wa tatu (March) 2017.

MATANGAZO KATIKA MTANDAO NA JARIDA

KWA NINI USITANGAZE BIDHAA NA HUDUMA ZAKO WAKATI UKIWAPA WATANZANIA ELIMU KWA AJILI YA KUDUMISHA AFYA ZAO NA KUJIKINGA NA MAGONJWA. Tuandikie kwa maelezo zaidi kupitia This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. na usisite kuuliza swali lolote.

Free Presentantion on ...

Free Presentation on Weight Loss with Zohra ...

+ View

Recent Articles

Utastaajabishwa na ...

Wakati mwingine tunakata tamaa kufanya mambo ...

+ View

Matatizo sugu yanayo ...

Wengi wetu tunafahamu umuhimu wa mazoezi katika ...

+ View

MEN’S BELLY FAT: Pride ...

The fact that abdominal fat, or belly fat, is not ...

+ View
  • Prev
  • Sponsor this Section
Scroll to top