Reputation Management
CPR certification onlineCPR certification online

Ni ndoto ya watu wengi kuwa na meno meupe yanayongaa. Hii humpa mtu tabasamu zuri, huongeza kujiamini na

Read more ...

Uotaji wa meno kwa watoto, umekuwa unatawaliwa na fikra zenye utata kwa karne nyingi na kwa jamii mbalimbali. Kuna dalili zinazohusishwa na kuota kwa meno, mfano homa, maumivu, kuwashwa, kutokupata usingizi mzuri, kuchuruzika mate (drooling), vipele, mtoto kujivuta masikio, matatizo ya kukataa kula, mafua, kuhara, na maambukizi ya vimelea. Hizi dalili hujitokeza kwa watoto wengi wakati wa uotaji wa meno, hata hivyo dalili nyingi ni matokeo tu yanayotokea pamoja ambayo hayana uhusiano wa moja kwa moja na uotaji meno. 

Read more ...

Kipindi cha ujauzito ni kipindi muhimu sana kwa mama. Kwa kina mama wengi kipindi hiki kinakuja na majukumu mengi na changamoto za kiafya. Mara nyingi matatizo ya kiafya wakati wa ujauzito yanatokana na mabadiliko ya homoni mwilini mwa mama mjamzito. Na sio ugonjwa unaohitaji matibabu. Hata hivyo usafi wa kinywa pia unapaswa kuangaliwa na kupewa kipaumbele. Kuna usemi kwa kina mama wajawazito kuwa kila ujauzito huondoka/hupelekea kuongoa jino, au kuwa na maumivu ya meno. Na ni ukweli usiopingika kuwa matatizo ya meno kuoza huwa ni tatizo sugu linalochukua muda mrefu, na pengine limekuwepo hata kabla ya uzauzito. Ni vyema mama mjamzito akawasiliana na daktari wa afya ya kinywa kufanya uchunguzi wa kinywa ne meno pia kwa ushauri zaidi.

Read more ...

Jino lina sehemu mbili sehemu ya nje na ya ndani. Sehemu ya nje ambayo ni ngumu inatengenezwa na enamel na dentin. Sehemu ya ndani ambayo ni laini (pulp) ina mishipa ya fahamu na mishipa ya damu.

Read more ...

Free Presentantion on ...

Free Presentation on Weight Loss with Zohra ...

+ View

Recent Articles

Utastaajabishwa na ...

Wakati mwingine tunakata tamaa kufanya mambo ...

+ View

Matatizo sugu yanayo ...

Wengi wetu tunafahamu umuhimu wa mazoezi katika ...

+ View

MEN’S BELLY FAT: Pride ...

The fact that abdominal fat, or belly fat, is not ...

+ View
  • Prev
  • Sponsor this Section
Scroll to top