Nini kifanyike?

Kinywa cha mtoto ni sehemu ya kwanza ya kuwasiliana na dunia ya nje, na kunyonya ni moja ya vitendo vinavyokuwa vimekamilika. Kuna aina mbili za kunyonya zinazoweza kufanywa na mtoto mchanga, 1) kunyonya kwa ajili ya lishe, 2) kunyonya kusikohusisha lishe.

Read more ...