Reputation Management
CPR certification onlineCPR certification online

Ugonjwa wa fizi unasababishwa na utando unaojijenga kwenye meno ujulikanao kama dental plaque. Utando huu unatengenezwa na aina ya vimelea au bakteria wanaokaa mdomoni. Utando huu huweza kuondolewa kwa urahisi kutoka kwenye meno kwa njia ya kupiga mswaki kwa usahihi. Ukikaa kwa muda mrefu bila kuondolewa, hasa kutokana upigaji wa mswaki usio sahihi, huganda na kutengeneza ugaga (dental calculus au tartar).

Read more ...

1. Dalili ya kwanza ya meno kuoza ni madoa meupe kwenye meno ya mbele. Hizi alama zinatokea karibu na fizi zina weupe wa chaki. Hii huonyesha upungufu wa madini ya kalsiamu kwenye eneo lililo athirika. Upungufu huu wa madini ya kalsiumu husababishwa na bakteria wanaoozesha meno, ambao hutengeneza asidi kutoka kwenye mabaki ya vyakula vyenye sukari, na hiyo asidi hushambulia sehemu ya nje ya jino. Madoa meupe kwenye meno hutangulia kabla ya matundu kutokea.

Read more ...

1. Kunyonyesha

Kwa ujumla, kunyonyesha hushauriwa na ni muhimu kwa watoto wachanga na haizuii tabia njema za usafi wa afya ya kinywa kwa watoto wadogo. Maziwa ya mama yenyewe hayasababishi wala kuongeza uwezekano wa kuoza kwa meno ukilinganisha na aina nyingine za wanga. Kwa upande mwingine, mara moja mtoto anapoanza kula mchanganyiko wa vyakula au vinywaji zaidi ya maziwa ya mama, mchanganyiko wa maziwa ya mama na vyakula vingine vyenye sukari vinaweza kuongeza uwezekano wa mtoto kupatwa ugonjwa wa kuoza kwa meno mapema utotoni (ECC). Watoto wasiruhusiwe kunyonya usiku mzima wanavyojisikia. Mama amnyonyeshe mtoto mpaka atakapoona ametosheka, kisha amlaze.

Read more ...

Kwa nini ni muhimu, na lini umuone daktari wa meno

Ziara ya kwanza ya mtoto kwa daktari wa watoto wa afya ya kinywa ni msingi ambao utasaidia kujenga na kuimarisha afya yake ya kinywa. Ziara hii hufanyika wakati mtoto akiwa ametimiza umri wa mwaka mmoja au hata kabla ya mwaka mmoja.

Read more ...

Free Presentantion on ...

Free Presentation on Weight Loss with Zohra ...

+ View

Recent Articles

Utastaajabishwa na ...

Wakati mwingine tunakata tamaa kufanya mambo ...

+ View

Matatizo sugu yanayo ...

Wengi wetu tunafahamu umuhimu wa mazoezi katika ...

+ View

MEN’S BELLY FAT: Pride ...

The fact that abdominal fat, or belly fat, is not ...

+ View
  • Prev
  • Sponsor this Section
Scroll to top